App ya chat ya Kitanzania yenye ujumbe na simu zilizolindwa kwa end-to-end encryption, michango ya vikundi, pesa kwa simu na maduka ya mtaani, kwa Kiswahili kwanza.
Maelezo kamili ya mradi huu
PigaChat ni app ya mawasiliano iliyotengenezwa kwa ajili ya Tanzania. Chat binafsi, groups na simu zinalindwa kwa end-to-end encryption, hivyo ni walio kwenye chat tu wanaoweza kuzisoma. Inafanya kazi kwenye tovuti, Android, Windows na Linux, kwa Kiswahili na Kiingereza.
Zaidi ya kuchat, inaleta maisha ya kila siku sehemu moja: Michango ya harusi na matukio, Mchezo wa kuweka akiba, wallet yenye pesa kwa simu, Duka la kuagiza kutoka maduka ya mtaani, Daftari la madeni, kadi za matukio zenye tiketi zinazokaguliwa mlangoni, na Mtaa kwa habari za eneo lako. Pia ina kinga dhidi ya matapeli, hali ya kuokoa bando, michezo kama Drafti na Bao, na Msaidizi anayefupisha groups zenye ujumbe mwingi.
Tulichokabiliana nacho
Jinsi Tulivyozitatua
2026
PigaTech SoftCompany
Completed
Matokeo