New

PambaKali

E-commerce

Soko la nguo mtandaoni kwa Tanzania. Maduka yanauza nguo zao, wateja wanalipa kwa simu, na kila kitu kipo kwa Kiswahili na Kiingereza.

Bure

Kuhusu PambaKali

Muhtasari wa kina wa suluhisho hili madhubuti

PambaKali inaleta maduka ya nguo ya Tanzania pamoja kwenye soko moja la mtandaoni. Mteja anaangalia maduka na makundi, anachuja kwa bei au ofa, kisha anachagua saizi na rangi. Analipa kwa simu kupitia PigaPay na anafuatilia kila oda kwa SMS mpaka imfikie.

Kila duka lina dashboard yake. Muuzaji anaweka bidhaa na stock ya kila saizi, anaweka discount codes na Ofa Kali za muda mfupi zenye saa ya kuhesabu, anajibu maswali ya wateja, anasimamia oda na kufuatilia mapato na malipo yake. Timu ya PambaKali inakubali maduka mapya na kusimamia malipo, payouts, refunds, reviews na settings kwenye admin panel.

PambaKali pia ina vitu vilivyotengenezwa kwa jinsi watu wa hapa wanavyonunua nguo. Kwa Sare, mtu mmoja anaanzisha oda ya kikundi kwa harusi au send-off na kutuma link, na kila mgeni anachagua saizi yake na kulipa sehemu yake. Kwa Nijulishe, mteja anapata SMS moja saizi iliyoisha ikirudi, au bidhaa ya wishlist yake ikishuka bei.

Imetengenezwa kwa simu kwanza, na unaweza kuiweka kwenye simu kama app.

Vipengele Muhimu
  • Malipo kwa simu, payouts na refunds kwa PigaPay
  • Soko la maduka mengi, kila muuzaji na dashboard yake
  • Stock ya kila saizi na rangi
  • Discount codes na Ofa Kali zenye saa ya kuhesabu
  • Oda za Sare za kikundi kwa link moja
  • SMS na email za codes, oda na alerts
  • Kiswahili na Kiingereza
  • Admin panel ya maduka, malipo, payouts na reviews
  • Muundo wa simu kwanza, unaowekwa kama app

Vipengele vya Bidhaa

Kila unachohitaji ili kufanikiwa

Malipo kwa simu, payouts na refunds kwa PigaPay

Msaada kamili kwa Malipo kwa simu, payouts na refunds kwa PigaPay

Soko la maduka mengi, kila muuzaji na dashboard yake

Msaada kamili kwa Soko la maduka mengi, kila muuzaji na dashboard yake

Stock ya kila saizi na rangi

Msaada kamili kwa Stock ya kila saizi na rangi

Discount codes na Ofa Kali zenye saa ya kuhesabu

Msaada kamili kwa Discount codes na Ofa Kali zenye saa ya kuhesabu

Oda za Sare za kikundi kwa link moja

Msaada kamili kwa Oda za Sare za kikundi kwa link moja

SMS na email za codes, oda na alerts

Msaada kamili kwa SMS na email za codes, oda na alerts

Kiswahili na Kiingereza

Msaada kamili kwa Kiswahili na Kiingereza

Admin panel ya maduka, malipo, payouts na reviews

Msaada kamili kwa Admin panel ya maduka, malipo, payouts na reviews

Muundo wa simu kwanza, unaowekwa kama app

Msaada kamili kwa Muundo wa simu kwanza, unaowekwa kama app

Kwa Nini Chagua PambaKali?

Faida kuu zinazotutofautisha

Anzisha soko lako la nguo mtandaoni kwa haraka

Experience the Anzisha soko lako la nguo mtandaoni kwa haraka advantage

Pokea malipo kwa simu, jinsi wateja wako wanavyolipa tayari

Experience the Pokea malipo kwa simu, jinsi wateja wako wanavyolipa tayari advantage

Wauzaji wanasimamia maduka yao, timu yako inafanya kazi kidogo

Experience the Wauzaji wanasimamia maduka yao, timu yako inafanya kazi kidogo advantage

SMS za alerts na Sare zinarudisha wateja tena na tena

Experience the SMS za alerts na Sare zinarudisha wateja tena na tena advantage

Jina lako, rangi zako na domain yako

Experience the Jina lako, rangi zako na domain yako advantage

Picha za Skrini

See PambaKali in action

PambaKali Screenshot
PambaKali Screenshot
PambaKali Screenshot
Ongea nasi WhatsApp

Mawasiliano

Tupigie Simu
+(255) 678 520 538
WhatsApp
+(255) 678 520 538
Barua Pepe
info@pigatechsoft.com

Msaidizi wa AI

Mtandaoni
Imenakiliwa!