New

Agiza Chakula

Food & Delivery

Mfumo wa kuagiza chakula wa PigaTech SoftCompany kwa Tanzania. Mteja anaagiza kutoka kwa wauzaji wa karibu, analipa kwa simu au cash, na anafuatilia oda yake kwenye ramani. Muuzaji anasimamia menyu, oda, saa za kazi na mauzo kwenye app moja.

Bei maalum

Kuhusu Agiza Chakula

Muhtasari wa kina wa suluhisho hili madhubuti

Agiza Chakula imetengenezwa na inaendeshwa na PigaTech SoftCompany. Inawaleta mtandaoni wauzaji wadogo wa chakula wa Tanzania (mama/baba lishe, kantini na migahawa midogo) bila kila mmoja kuhitaji tovuti au app yake, na inampa mteja sehemu moja ya kuaminika ya kupata chakula karibu naye.

Mteja anaona wauzaji wa karibu yake pamoja na menyu, picha, bei na saa zao za leo, na anaagiza kwa kubonyeza mara chache: analetewa kwa boda, bajaji au gari, au anachukua mwenyewe. Analipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money (kupitia PigaPay) au cash. Anafuatilia oda kwenye ramani yenye njia halisi na dakika zilizobaki, na anaipokea kwa code yake ya siri.

Mteja akilipa kwa simu, Agiza Chakula inaitunza pesa salama na kumpa muuzaji baada ya chakula kufika tu. Mteja anabonyeza "Nimepokea" au "Sijapokea", na admin anaamua kama kuna tatizo.

Muuzaji anapata duka kamili: ukurasa wa menyu yake na QR code, oda mpya zenye mlio, vyakula maalum vya leo, ada zake za usafiri, njia za malipo (cash, simu au vyote), saa za kazi za kila siku zinazofungua na kufunga duka lenyewe, na muhtasari wa mauzo.

Mfumo mmoja wa PHP unahudumia tovuti na API ya JSON ya app za Flutter zilizopo Google Play, Microsoft Store, Snap Store na apt yetu wenyewe kwa Kali, Debian na Ubuntu. Kiswahili kwanza, na Kiingereza kamili.

Vipengele Muhimu
  • Agiza kwa wauzaji wa karibu, ukiona menyu, picha na bei
  • Ona saa za kazi za kila muuzaji kwa kila siku
  • Letewa kwa boda, bajaji au gari, au chukua mwenyewe
  • Lipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au cash
  • Fuatilia oda kwenye ramani, ukiona njia na dakika za kufika
  • Pokea oda kwa code yako ya siri
  • Pesa yako iko salama mpaka chakula kifike
  • Muuzaji: menyu, oda, vyakula maalum, saa za kazi na mauzo
  • Menyu ya QR code mezani au kaunta
  • Kiswahili na Kiingereza
  • App za tovuti, Android, Windows na Linux

Vipengele vya Bidhaa

Kila unachohitaji ili kufanikiwa

Agiza kwa wauzaji wa karibu, ukiona menyu, picha na bei

Msaada kamili kwa Agiza kwa wauzaji wa karibu, ukiona menyu, picha na bei

Ona saa za kazi za kila muuzaji kwa kila siku

Msaada kamili kwa Ona saa za kazi za kila muuzaji kwa kila siku

Letewa kwa boda, bajaji au gari, au chukua mwenyewe

Msaada kamili kwa Letewa kwa boda, bajaji au gari, au chukua mwenyewe

Lipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au cash

Msaada kamili kwa Lipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au cash

Fuatilia oda kwenye ramani, ukiona njia na dakika za kufika

Msaada kamili kwa Fuatilia oda kwenye ramani, ukiona njia na dakika za kufika

Pokea oda kwa code yako ya siri

Msaada kamili kwa Pokea oda kwa code yako ya siri

Pesa yako iko salama mpaka chakula kifike

Msaada kamili kwa Pesa yako iko salama mpaka chakula kifike

Muuzaji: menyu, oda, vyakula maalum, saa za kazi na mauzo

Msaada kamili kwa Muuzaji: menyu, oda, vyakula maalum, saa za kazi na mauzo

Menyu ya QR code mezani au kaunta

Msaada kamili kwa Menyu ya QR code mezani au kaunta

Kiswahili na Kiingereza

Msaada kamili kwa Kiswahili na Kiingereza

App za tovuti, Android, Windows na Linux

Msaada kamili kwa App za tovuti, Android, Windows na Linux

Kwa Nini Chagua Agiza Chakula?

Faida kuu zinazotutofautisha

Mteja anapata chakula kizuri karibu naye kwa dakika chache

Experience the Mteja anapata chakula kizuri karibu naye kwa dakika chache advantage

Muuzaji anafikia wateja wengi bila kutengeneza app yake

Experience the Muuzaji anafikia wateja wengi bila kutengeneza app yake advantage

Hakuna gharama zilizofichwa kwa mteja

Experience the Hakuna gharama zilizofichwa kwa mteja advantage

Kupokea na kulipa kwa usalama

Experience the Kupokea na kulipa kwa usalama advantage

Muuzaji anaona kinachouzika na kukuza biashara yake

Experience the Muuzaji anaona kinachouzika na kukuza biashara yake advantage

Inafanya kazi kwenye simu na kompyuta

Experience the Inafanya kazi kwenye simu na kompyuta advantage

Picha za Skrini

See Agiza Chakula in action

Agiza Chakula Screenshot
Agiza Chakula Screenshot
Agiza Chakula Screenshot
Ongea nasi WhatsApp

Mawasiliano

Tupigie Simu
+(255) 678 520 538
WhatsApp
+(255) 678 520 538
Barua Pepe
info@pigatechsoft.com

Msaidizi wa AI

Mtandaoni
Imenakiliwa!